Nmb Lindi branch: Huu si Uungwana kwa kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nmb Lindi branch: Huu si Uungwana kwa kweli.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mr. Bigman, Mar 25, 2012.

 1. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,857
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Niko hapa kwenye mashine zao za ATM toka saa 12 alfajiri. Mashine zimezima hakuna umeme wa Tanesco hapa mjini tangu jana usiku na wao hawajafika kuwasha jenereta lao la standby ambalo tunajua lipo. Zaidi ya wateja 500 hivi sasa wamepanga foleni wanasubiri huduma. Hivi kwa nini hii benki ina huduma mbovu kiasi hiki? Eti ATM saa 24! Hivi nikiamua kuwashtaki mnilipe fidia( pamoja na Tanesco ofcourse) mtajitetea vipi kwa kunisababishia hasara? Meneja wa Nmb huko nyumbani kwako hebu amka uje hapa ukutane na sisi
   
Loading...