hata mimi leo, nlitoka kwenye Tawi lao !! niliambiwa mtandao unasumbuaaBenki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu?
Mwaka mpya wa fedha bank zote zimefungwaBenki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu?
Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedhaHata NMb mobile app
Pia ni majanga ...
Nimefanya muamala pesa imetoka kwenye akaunti ila kwa mhusika haijafika
Kwani wakitoa taarifa kuna shida gani ili watu wasifanye miamala? Sio kila mtu anajua kuwa leo wanafungaTarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha
Zinafunguliwa lini?Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha
Mwezi wa 8 mwishoniZinafunguliwa lini?
KeshoZinafunguliwa lini?
Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu?