Sasa ndugu yangu umeshindwa kwenda tawi lao kuonana na uongozi na kuwapa malalamiko yako??Nimemaliza mkopo wenu kiroho safi tuh ....... lakini naona bado mnaendelea kufanya yenu!.....tafathali sanah!.....Acheni kuwaibia maskin bhanah!
Kama bay port wanafyeka balaaMaskini wenzangu tuwe macho.....hizi taasisi za fedha zinatuibia sana watu wa chini!