NMB imefungua tawi la 138, Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NMB imefungua tawi la 138, Arusha

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by PayGod, Sep 11, 2010.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  NMB imefungua tawi la 138, Arusha likijulikana kama ARUSHA MARKET, hongera NMB.
   
 2. m

  matambo JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pamoja na hayo wajitahidi wasambaze mtandao wa ATMs zao uwe mpana ili kupunguza jams kwenye matawi yao hasa mwisho wa mwezi, ingefaa wawaige ndugu zao NBC ambao wamejitahidi kusambaza ATMs kwenye filling stations nyingi kwahiyo wanapunguza kwa kiasi fulani misongamano kwenye matawi.

  na kwa kuwa NMB ndiyo benki iliyopo vijijini pia wangejaribu kuweka atm kwenye miji midogo ili kupunguza adha waipatayo wananchi toka vijijini kuja wilayani kuweka au kuchukua pesa,kiasi kwamba matawi ya NMB yako always yamejaa wateja
   
Loading...