NMB House Inaungua...

NMB House Inaungua...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
66
Nimepata taarifa jengo la NMB House linaungua yeyote mwenye taarifa zaidi atujuze....
 
more updates pls
majanga ya moto mbona yanazidi lakini?
 
Kweli limeshika moto.
Kwa picha zaidi pita mtaani kwa Issa Misupu.
 
Sio nmb house ni Bankhouse wakubwa,moto ulishazimwa,lipo ktk ukarabati,
 
mh mbona kila siku ni majanga ya moto jamani na mambo ya ndani wanatuuzia stika za fire kila siku moto awazuii wala awazimi in time why?
 
Nielekezeni magunia ya pesa yalipo nikayaokoe.

heheee wewe utapanda ghorofani uyarushe kwa dirishani mie nitayadaka niyapack kwenye pick up halafu yakiisha nakusubiri twende wote tukayaweke sehemu yenye usalama!
 
Back
Top Bottom