NMB Bank officer several position

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,675
2,000
Kwema wakuu...naomba kufahamishwa Kama Kuna update zozote baada ya kufanya aptitude test na kupewa result...

Chukua taadhali corona ni Hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajisikia Raha sana kuoneakana Muanzisha Uzi eee?

Hujaona ule uzi mwengine wenye hizi taarifa?

Huku kukosa kwako umakini ukikuendekeza hata kwenye Intavyuu utaishia tu kuzunguka na bahasha mitaani
 

nyaiboko

Member
Feb 26, 2015
14
45
Binafsi nimeutafuta Sana mpaka nkahc ulishafutwa that why nkaamua kuazisha u uzi Nia nipate update...may be kunaki2 nakosea kwenye kutafuta...Kama una u access pls npe direct connection mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom