[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba aliyetuma ndio kaambiwa asubiri kwanza hela itaingia baadae? au huyo jamaa yako anakupiga kamba?
Nimejiuliza, NMB ukatume hela, wakwambie eti, ataipata baada ya baada ya masaa 2, mwenzio anamnywesha chai yeye hajastuka.Kwamba aliyetuma ndio kaambiwa asubiri kwanza hela itaingia baadae? au huyo jamaa yako anakupiga kamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimejiuliza, NMB ukatume hela, wakwambie eti, ataipata baada ya baada ya masaa 2, mwenzio anamnywesha chai yeye hajastuka.
Mke wangu kanitumia pesa haijaingiaKwamba aliyetuma ndio kaambiwa asubiri kwanza hela itaingia baadae? au huyo jamaa yako anakupiga kamba?
Sema vizuri na mkeoMke wangu kanitumia pesa haijaingia
mwambie akutumie uthibtisho wa muamala kwanzaNimemwambia mtu anitumie pesa kwenye akaunti yangu ya NMB. Baada ya nusu saa naangalia Salio hakuna pesa iliyoingia. Nikamwambia aliyenitumia akasema anewapigia wamemwambia nisubiri masaa mawili pesa itaingia. Upuuzi Gani huu? Au tutumie mitandao ya simu tuwaache na upuuzi wenu??
Hahah kabisaSema vizuri na mkeo
Hii ya salio kuchelewa inawezekana maana hapo kuna transfer kuelekea kampuni mbili tofautiKwa ambaye hakijawahi mkuta atabishana.
CRDB nilinunua salio la elf 30 na Simbanking. Hela ikapungua na salio katika simu halikufika
Kwenda Bank wakanambia nisubiri masaa 24. Within masaa 24 itarudi
Sasa si bora hao masaa mawili, wengine wanakwambia subiri masaa 72, hela isipofika watairudisha kwa aliyetumaNimejiuliza, NMB ukatume hela, wakwambie eti, ataipata baada ya baada ya masaa 2, mwenzio anamnywesha chai yeye hajastuka.
Ametumamwambie akutumie uthibtisho wa muamala kwanza
Wapumbavu hao sana asee,pesa ikibaki kidogo kwenye account wanaipambania iwe yao waile Hadi iishe.Nimemwambia mtu anitumie pesa kwenye akaunti yangu ya NMB. Baada ya nusu saa naangalia Salio hakuna pesa iliyoingia. Nikamwambia aliyenitumia akasema anewapigia wamemwambia nisubiri masaa mawili pesa itaingia. Upuuzi Gani huu? Au tutumie mitandao ya simu tuwaache na upuuzi wenu??