Tatizo haujui banking ndio maana,banki sio sawa na duka la mangi au mkinga kwamba utachukua tu hela,kinachotokea ni kwamba kama watu hawajapata hela asubuh report itaonesha kwamba kuna wateja waliomba hela hawakupata ila a\c ili debitiwa,so sio kwel kwamba hela wanachukua humo humo watumish,they work with with ethicks,unapopeleka lalamiko kwa meneja huduma kwa wateja kwasababu anakuwa tayar na report atakurudishia,na hilo tatizo co Nmb tu hata bank nayofanyia mie lipo so ni tatizo la kawaida kwa atm za benki zote