blessings
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 7,428
- 7,099
Afrika hv tumelogwa na nani? Wanachokifanya viongozi wa ECOWAS no kichekesho kule Gambia, tunafahamika tuna drama za ajabu pamoja na kuwa taasisi (kuanzia AU, EAC,SADC na sasa ECOWAS lukuki bado sioni taasisi hizi zikifanya yale yaliyokusudiwa wa kati zinaanzishwa. Trump tunyooshe.
SADC walishindwa mgogoro wa Zimbabwe na Kule Lesotho,
EAC wameshindwa Burundi, Sudan kusini
ECOWAS sasa wameamua kuanzisha komedi pale Banjul....
SADC walishindwa mgogoro wa Zimbabwe na Kule Lesotho,
EAC wameshindwa Burundi, Sudan kusini
ECOWAS sasa wameamua kuanzisha komedi pale Banjul....