Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Habari wadau!
Kiuhalisia binadamu na viumbe wengine huwa tunapata njozi tukiwa usingizini, na njozi huwa zinatokana na picha na hali ya maisha ya kila siku ambayo tunaishi kila siku ndio huwa yanajirudia usiku na kuwa njozi, sasa swali langu ni je mlemavu wa macho (Kipofu )yeye anaota nini? Maana yeye haoni kitu chochote wala tangu yoyote, sasa njozi zake zinatokana na nini?