Njozi za kipofu, anaotaje na wakati haoni?

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
990
1,040
Habari wadau!

Kiuhalisia binadamu na viumbe wengine huwa tunapata njozi tukiwa usingizini, na njozi huwa zinatokana na picha na hali ya maisha ya kila siku ambayo tunaishi kila siku ndio huwa yanajirudia usiku na kuwa njozi, sasa swali langu ni je mlemavu wa macho (Kipofu )yeye anaota nini? Maana yeye haoni kitu chochote wala tangu yoyote, sasa njozi zake zinatokana na nini?
 
Hili swali nilimwuliza kipofu mwenyewe, tukisoma nao pale Ndanda secondary school, aisee nilimkosea sana akanipeleka kwa mlezi wao. Na hadi leo Sina majibu, niliambulia adhabu.
 
If someone has been totally blind since birth, they only have auditory dreams. If someone such as I, has had a measure of sight, then that person dreams with that measure of sight. I still dream as though I can see, colors included. For people I've met since, their faces are just blurs or how I imagine they look.

says tamara
 
....nilichoelewa hapo ni kuwa mtu ambaye amezaliwa haoni ila anasikia tu, basi hata ndoto zake akilala ni za kusikia tu,,na kama alipata upofu na alikuwa anaona vizuri, basi ndoto zake ni za kuishia zile picha alizo wahi huziona na sauti tu....
 
Fumba macho yako halafu jitekenye!
If someone has been totally blind since birth, they only have auditory dreams. If someone such as I, has had a measure of sight, then that person dreams with that measure of sight. I still dream as though I can see, colors included. For people I've met since, their faces are just blurs or how I imagine they look.

says tamara
 
Habari wadau!

Kiuhalisia binadamu na viumbe wengine huwa tunapata njozi tukiwa usingizini, na njozi huwa zinatokana na picha na hali ya maisha ya kila siku ambayo tunaishi kila siku ndio huwa yanajirudia usiku na kuwa njozi, sasa swali langu ni je mlemavu wa macho (Kipofu )yeye anaota nini? Maana yeye haoni kitu chochote wala tangu yoyote, sasa njozi zake zinatokana na nini?
Kwa kuwa anayo matendo anayoshiriki na wenzake basi ataota hayo matendo kama vile kula, kucheza mziki, kufanya kazi n.k
 
Habari wadau!

Kiuhalisia binadamu na viumbe wengine huwa tunapata njozi tukiwa usingizini, na njozi huwa zinatokana na picha na hali ya maisha ya kila siku ambayo tunaishi kila siku ndio huwa yanajirudia usiku na kuwa njozi, sasa swali langu ni je mlemavu wa macho (Kipofu )yeye anaota nini? Maana yeye haoni kitu chochote wala tangu yoyote, sasa njozi zake zinatokana na nini?
Chochote chenye uhai lazima kiote kwakuwa licha ya macho kutoona lakini kuna ufahamu na third eye
 
Mi naamin ndoto ni kile unachofikiri kwenye bichwa lako.. Kwa mfano unaweza ukawa unamtaman mwajuma bila hata kumuona alaf usiku unajikuta umeharib boxer kisa mwajuma
 
Ninavofahamu ndoto inatokana na roho,haitokan na kusikia wala kuona...."KILA CHENYE ROHO KINAPATA NDOTO"
 
Back
Top Bottom