Njozi hizi zinamaanisha nini?

Njozi hizi zinamaanisha nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Ndoto namba1
Mimi, mama, kaka na Dada yangu tunashuka mlima huku tukifakari na kujionea uharibifu wa mazingira mlima Loleza Mbeya.

Ndoto namba 2
Ni Kama inaonyeshwa Kwenye TV lakini ikawa namuona physically huyo mama analia mtoto wake amekufa baada ya Bomba LA Maji kupasuka, mafundi wa dawasa wakapita Kama hamna kibaya kilichotokea.

Ndoto ya tatu
Nimeota mama kaniita, nilipoingia chumbani kwake nikakuta anavaa, kajifunika kitenge akaniambia nimngoje nje. Tukawa tunaongea Habari za wanyapori, akasema maafisa wanyama pori wanalipwa bure hela nyingi ukilinganisha na elimu waliyonayo. Akamtaja rafiki yangu ambaye ni meneja wa pori.

Kwa hasira nikang'aka rafiki yangu kasoma kuliko mdogo wako (mjomba) , lazima kozi ngumu SUA, tena ana masters. Mjomba Ana masters ya HR Canada na Ana masters nyingine ya Business Administration ya UDSM.

Nikatoka hapo Kwenye ubishani nikaenda sehemu Ina kijito kizuri na mbaya mazuri pembeni. Nikakutana na rafiki yangu afisa wanyama pori, nikamuuliza Hivi ulifanya masters? Akajibu hapana. Basi tukaenda nae nyumbani, tulipofika nyumbani akawa Kama amepagawa akaanza kuongezeka umbo UKAWA mrefu Sana na mpana Sana kuliko binadamu wa kawaida akashuka ghorofani kwa kishindo kikuu.

Akaingia mtaa ni watu wote wanamshangaa, wakaja kwetu ili kujua kilichotokea watu wangu Sana. Nikamfuata kwake UKAWA hataki hata kuniona.

Ndoto ya NNE
Nimeota garaje sehemu ya kulaza Gari, Bomba limepasuka Maji Mengi Sana yakawa yanatoka yanapanda ghorofani.
Nikaota tena Niko ghorofani mvua inaninyeshea na mkononi Nina box LA majani ya chai nafight ili yasiharibike.
 
Hizi ndoto ukizichanganya kwa pamoja na kuzitafsiri kwa kina utagundua yafuatayo.

1. Waziri Mkuu ajaye atakuwa Dr. Mwakyembe
2. Mrema na Kafulila watateuliwa kuwa wabunge
3. Azam itakuwa bingwa wa soka Tanzania.
4. Chelsea itashuka daraja EPL
5. Magufuli ataoa mke wa pili
6. JK hataachia uenyekiti wa CCM mpaka 2017

Ukiota tena leo ndoto za namna hii ujue Mkapa atagombea urais 2020.

Nakutakia ndoto njema
 
asante Sana sheikh
Asante
 
Ndoto namba1
Mimi, mama, kaka na Dada yangu tunashuka mlima huku tukifakari na kujionea uharibifu wa mazingira mlima Loleza Mbeya.

Ndoto namba 2
Ni Kama inaonyeshwa Kwenye TV lakini ikawa namuona physically huyo mama analia mtoto wake amekufa baada ya Bomba LA Maji kupasuka, mafundi wa dawasa wakapita Kama hamna kibaya kilichotokea.

Ndoto ya tatu
Nimeota mama kaniita, nilipoingia chumbani kwake nikakuta anavaa, kajifunika kitenge akaniambia nimngoje nje. Tukawa tunaongea Habari za wanyapori, akasema maafisa wanyama pori wanalipwa bure hela nyingi ukilinganisha na elimu waliyonayo. Akamtaja rafiki yangu ambaye ni meneja wa pori.

Kwa hasira nikang'aka rafiki yangu kasoma kuliko mdogo wako (mjomba) , lazima kozi ngumu SUA, tena ana masters. Mjomba Ana masters ya HR Canada na Ana masters nyingine ya Business Administration ya UDSM.

Nikatoka hapo Kwenye ubishani nikaenda sehemu Ina kijito kizuri na mbaya mazuri pembeni. Nikakutana na rafiki yangu afisa wanyama pori, nikamuuliza Hivi ulifanya masters? Akajibu hapana. Basi tukaenda nae nyumbani, tulipofika nyumbani akawa Kama amepagawa akaanza kuongezeka umbo UKAWA mrefu Sana na mpana Sana kuliko binadamu wa kawaida akashuka ghorofani kwa kishindo kikuu.

Akaingia mtaa ni watu wote wanamshangaa, wakaja kwetu ili kujua kilichotokea watu wangu Sana. Nikamfuata kwake UKAWA hataki hata kuniona.

Ndoto ya NNE
Nimeota garaje sehemu ya kulaza Gari, Bomba limepasuka Maji Mengi Sana yakawa yanatoka yanapanda ghorofani.
Nikaota tena Niko ghorofani mvua inaninyeshea na mkononi Nina box LA majani ya chai nafight ili yasiharibike.

Nataka nikutabirie ndoto yako
 
Ndoto ya kwanza ni dalili ya stagnation spirit inayofuatilia familia yenu. shughulika na hiyo roho
 
ndoto ya 3 inamanisha utakuja kumkamua mama yako porini kenge wewe...
 
Hapa ndio utaamini jf kuna vipaji vya waganga na manabii wa uongo..
 
kama ndoto zote uliota siku moja basi ndoto ya kwanza ndio iliobeba maana: UKIOTA UNATEREMKA MLIMANI UJUE NI DALILI ZA KUHARIBIKIWA KATIKA SHUGHULI ZAKO. KAMA NI MFANYA KAZI UJUE UTASHUSHWA CHEO, KAMA NI MFANYA BIASHARA UJUE UTAKWAMA KWENYE BIASHARA ZAKO AU HATA KUFILISIKA... N.K. NDOTO ZILIZOBAKI ZITAKUWA NA MAANA KAMA UTAKUWA UMEOTA SIKU TOFAUTI...
 
Daaah umeota umeingia chumbani alafu mama umekuta anavaa duuh ndoto balaa hiyo!!ushauri wangu ukiagiza bhangi angalia na unaowaagiza wakati mwingine wanaweza kukuchanganyia na visivyo faa!!
 
hiyo namba 3 noma sana angalia siku nyingine haitaishia hapo!
 
Hahaaa kwa mtiririko huo nachelea kusema hizi zote ni ndoto tu,wala hazina ujumbe wowote.
 
Ndoto namba1
Mimi, mama, kaka na Dada yangu tunashuka mlima huku tukifakari na kujionea uharibifu wa mazingira mlima Loleza Mbeya.

Ndoto namba 2
Ni Kama inaonyeshwa Kwenye TV lakini ikawa namuona physically huyo mama analia mtoto wake amekufa baada ya Bomba LA Maji kupasuka, mafundi wa dawasa wakapita Kama hamna kibaya kilichotokea.

Ndoto ya tatu
Nimeota mama kaniita, nilipoingia chumbani kwake nikakuta anavaa, kajifunika kitenge akaniambia nimngoje nje. Tukawa tunaongea Habari za wanyapori, akasema maafisa wanyama pori wanalipwa bure hela nyingi ukilinganisha na elimu waliyonayo. Akamtaja rafiki yangu ambaye ni meneja wa pori.

Kwa hasira nikang'aka rafiki yangu kasoma kuliko mdogo wako (mjomba) , lazima kozi ngumu SUA, tena ana masters. Mjomba Ana masters ya HR Canada na Ana masters nyingine ya Business Administration ya UDSM.

Nikatoka hapo Kwenye ubishani nikaenda sehemu Ina kijito kizuri na mbaya mazuri pembeni. Nikakutana na rafiki yangu afisa wanyama pori, nikamuuliza Hivi ulifanya masters? Akajibu hapana. Basi tukaenda nae nyumbani, tulipofika nyumbani akawa Kama amepagawa akaanza kuongezeka umbo UKAWA mrefu Sana na mpana Sana kuliko binadamu wa kawaida akashuka ghorofani kwa kishindo kikuu.

Akaingia mtaa ni watu wote wanamshangaa, wakaja kwetu ili kujua kilichotokea watu wangu Sana. Nikamfuata kwake UKAWA hataki hata kuniona.

Ndoto ya NNE
Nimeota garaje sehemu ya kulaza Gari, Bomba limepasuka Maji Mengi Sana yakawa yanatoka yanapanda ghorofani.
Nikaota tena Niko ghorofani mvua inaninyeshea na mkononi Nina box LA majani ya chai nafight ili yasiharibike.

Najaribu:
Na1. Kushuka mlima ni kuporomoka ulikokuwa, sasa vile ni familia nzima basi tafuta chanzo huenda mmoja kafanya balaa sasa laana ni ya familia. Msitu ni hali asili au pia makazi ya mizimu. Kwa kifupi kama ni Mkristu kimbilia kanisani la sivyo ndo mnakabidhiwa kuzimu hivyo!
2. Tv ni maono, mtoto ni kusudi, maji yakija taratibu ni baraka(Uzima) lkn ya fujo ni balaa(laana/ghadhabu ya Mungu), bomba ni njia ya kuleta hilo balaa/laana/baraka(badala ya kufuata mtoni, unaletewa mpaka home). Sasa hapo una neema ya kuona kabla ya mambo, kuna mtu mwanamke, kusudi/mipango/malengo/mladi utapigwa na balaa. Vile hana mahusiano mazuri na mleta baraka, atakosa msaada wa matengenezo. Omba Mungu akuoneshe mlete kanisani, au aende kwa Mchungaji aliyesimama ili hatima ya anachotegemea kisiharibike.
3. Nguo inasitiri mwili( Kwa watu wa Mungu), akiwa hana maana yake hayupo kwenye mstari. Mambo ya mapori ni mizimwi, hivyo huyo mama ndiye unaonesha ndiye chanzo cha hayo maanguko na mabalaa, anaweza kuwa anajua kwa kushiriki matambiko au pia hajui alikabidhiwa pasipo kujua lkn ndoto za porini,kaniki nk anazo. Mlete kanisani afunguliwe, hata ukijiepusha naye haitasaidia bila kumfungua huyo ajenti wa madhabau ya kuzimu.
 
Back
Top Bottom