Njooni tuongeze idadi ya mapacha Tanzania

Sawa nimeshindwa kutengeneza hoja naomba kujua lengo lako sasa nyie ambao ni Pacha ni nini?
Mbona thread ilishaweka records clear b4 hata cjasema lengo la thread??
Ok! Ngoja nijitie udhaifu ili nkurdhshe; natak kioa couple iwe inahusisha atleast one party ambayo ina genetic code ya mapacha ili tuongeze idad ya uzao wa pacha Tz.

Hii inatokan na msing wa iman yng, kwmba couple hii itakayotngenezw hapa italeta twins.
 
Unawaza ngono tu, na hili ndilo nilitaka useme.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom