Njooni tulime

emmax00

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
38
Reaction score
3
Habari wanajamvi wenzangu, naleta Uzi huu , ili kuweza kupata ushauri ama kama kuna MTU tunaweza kujoin tukafanya biashara ya kilimo, tukalima kilimo cha muda mfupi mm Nina milioni 1 wakuu nisaidieni kufikiri nilime kilimo gani chenye Tija asanteni.
 
Huko sijafika bado, nafanya Kilimo cha umwagiliaji Moshi
Sasa tunaweza kushirikiana kwenye kilimo West Kilimanjaro c wanafanya kilimo cha umwagiliaji mkuu.
 
Huko MOSHI unajihusisha na kilimo cha nn mkuu
 
Mi nanakieneo cha heka mbili Kisarawe tikitimaji linakubali kiulaini ila sina mtaji tu
 
Start this Big boss.!

Unaweza lima miche ya mboga mboga kuanzia 150 mpaka 200 per Tower na kuuza 500 kila mche baada ya mwezi.! Mfano wa zao=Chinese

Uzuri wake.!

1. Mtaji mdogo kuanza

2. Gharama ndogo sana ya maji

3. Hata mjini unafanya.

4. The more the Tower the more You gain

5. Gharama ndogo ya usimamizi.

Mtaji wako si haba hata kidogo kuanzisha kitu kama hiki. Being initiative ndicho ulichobakiza tu mkuu wangu.

Niishie hapa.

Habari wanajamvi wenzangu, naleta Uzi huu , ili kuweza kupata ushauri ama kama kuna MTU tunaweza kujoin tukafanya biashara ya kilimo, tukalima kilimo cha muda mfupi mm Nina milioni 1 wakuu nisaidieni kufikiri nilime kilimo gani chenye Tija asanteni.
Mboga mboga,pesa yako inarudi mapema sana. Mfano ukilima mchicha,unaanza kuvuna kuanzia wiki ya tatu mpaka sita tangu kupandwa kwa mbegu
 
Mi nanakieneo cha heka mbili Kisarawe tikitimaji linakubali kiulaini ila sina mtaji tu
Kodisha heka moja upate pesa ya mtaji ,heka nyingine utatumia kulima mwenyewe
 
Hii mkuu nimeipenda sama, naomba mwongozo wa ktaalamu.gharama na hivyo vyombo vinapatikanaje, je ni vya kienyeji au dukani.nina eneo nusu heka Dar nilikuwa nawaza mianzishe nini maana muda wa kulijenga myumba bado.
 
Yani tawa moja Tu unapiga laki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…