Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
unatafuta mke.!?
wazo nzuri
Occupation :Umbea team Jobless
Asili :Mwanza
Umri:65
Kabila;hata silijui
Marital status: double
Cc Kim nana Paula kilaki
asili:tanga ndo home
occupation: mpka vitumbua
kabila: mdigo
Umri:btn 21 - 30
marital status: in a relationship
Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha!
Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye Professions zetu, makabila yetu, maeneo tutakayo, umri, marital status n.k, wengi wetu tutakutana na watu wa makabila na kada zetu, age sio ishu sana.
Hivyo, itakua rahisi mtu akiwa na tatizo kwenye eneo fulani kwa mfano huduma za kibenki au ukandarasi, anafahamu aende kwa nani mwenye taaluma hiyo ili kupata ushauri, so mnakutana PM mnabonga, ikiwapendeza mnabadilishana na n namba za simu kabisaa.
Naanza mimi.
Occupation: Lawyer.
Asili: Msoma na Mwanza ingawa kwa sasa naishi Tanga na Dar es salaam.
Kabila: Mjita.
Umri: In between the age of 25 to 28 (Nipo katikati hapo-siri yangu).
Marital status: Single and Seriously Searching.
Haya karibuni wadau.

mkuu ungeenda love connect,blah blah za nini?
wengi watafikiri hili ndio lengo.....hasa baada ya kusisitiza you are seriously searching.
asili:tanga ndo home
occupation: mpka vitumbua
kabila: mdigo
Umri:btn 21 - 30
marital status: in a relationship
Mkaruka ....kutiki?
wasibhayo....? kama nilikuona bukongo kama sio mahande na nansio town.....
Watakuja watu na status za complicated hapa! halafu wengine wataandika single wakati sio hahahah!team bazazi😛eep:😛eep: