Njooni katika taifa langu na mchukue mali?

Njooni katika taifa langu na mchukue mali?

Joined
Nov 5, 2014
Posts
43
Reaction score
5
Hamsini miaka kenda na tatu juu yake naumia na kupata machungu kipi cha watesa hawa masikini wezangu waliokosa upeo kama wa macho yangu.taifa linalopoteza matumiini kwa demokrasia isiyo kuwa hai,ndugu zangu sina budi kurudi siasa ya ujamaa(socialism) chini ya USSR na ikiasisiwa na hayati jk nyerere.ni chozi la mnyonge kwani kila wawekezaji wakija ni kuchota mali,oooh! Tanzania the free land of foreign investors and planting an invisible exploitative system for hundred coming years with no hope to return gifts to its indigineous.na ndomana nasema njooni wageni kwani walioshika dhamana yetu awana huruma na sisi zaidi ya kutunyanyasa wanatuita sisi wa chafu hakika kisicho riziki akiliki,l remember one of the poem says" my children are dwarf that no one is taller than the other,that they are dirty,that they eat slice.let them eat brother because the white man is not yet to die a little so that we can survive" just to memorize u back,ila silidhishwi na uwajibikaji na imani ya viongozi wetu .natumaini mwaka 2015 ni mabadiliko tu kama unaunga mkono kilio hichi tuma comment za uchungu kwanamna unavyoumia.asante naanza kwa hayo
 
​ujinga wa watanzania ndo mtaji wa wanasiasa wa SISIEM
 
Back
Top Bottom