Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,066
Wapi mkuu?tuelekeze,mimi nakujaHaya nasema njooni huku kusini tulime acheni kulaumu tu kila kukicha mara serikali hivi mara JPM vile,njooni majembe yapo for free na mashamba yapo free vile vile. Mmenielewe lakini?
Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
RuvumaWapi mkuu?tuelekeze,mimi nakuja
Ruvuma wewe Majitakusini ya wapi? South America au South Africa?
Duh,the morning flavour.umeniamsha na kicheko mkuukusini ya wapi? South America au South Africa?
Wewe njoo tuKuna mvua na madawa ya kuuwa wadudu bure.
Swissme
Hayo mashamba bure kivipi?ya kwako ama?tusijeuziwa mbuzi kwenye guniaRuvuma
Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Haya nasema njooni huku kusini tulime acheni kulaumu tu kila kukicha mara serikali hivi mara JPM vile,njooni majembe yapo for free na mashamba yapo free vile vile. Mmenielewe lakini?
Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Yangu mkuuHayo mashamba bure kivipi?ya kwako ama?tusijeuziwa mbuzi kwenye gunia
Ruvumakusini wapi mkuu,kilwa,lindi,ruangwa,nachingwea,liwale,masasi ,nanyumbu,newala,tandahimba,nanyamba,au mikindani ?
Una heka ngapiYangu mkuu
Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app