Njoo usome

Princess21

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
272
266
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)

3.Usiku-Mchemsho wa maini. Halafu anakazia na castle light au redbul

RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI

1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......

2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......

3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!

Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! Mana huko hawapati wanachostaili....Niwape siri huyo akikutana na EX wake wa mkoa mwenye ratiba kama hiyo anakuona wewe kama mdada mwenzie.......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna waganga wa hivyo. "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"

Am done!
 
Inaonesha unapapenda sana town, ila tatizo huna pa kufikia tu.. haya tafuta kick mkuu
 
mhmhmhmh wamikoani ndio mmezidi kwa kweli hamna lolote yaaan basi tu mtoa uzi kaamua kujipendelea
 
Teh! afadhali wewe shuhuda umekuja kusema ukweli....hebu rudia tena...kati ya mwanaume wa mkoani na wa jiji la mabasi ya mwendo kasi unachagua yupi?
 
naanzaje kumchagua wa mkoani mfano wakati wanaume wa mwendo kasi wapo mambo yao yote kasi wanatokea sehemu yenye kasi na kila kitu kwao kasi
 
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)

3.Usiku-Mchemsho wa maini. Halafu anakazia na castle light au redbul

RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI

1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......

2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......

3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!

Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! Mana huko hawapati wanachostaili....Niwape siri huyo akikutana na EX wake wa mkoa mwenye ratiba kama hiyo anakuona wewe kama mdada mwenzie.......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna waganga wa hivyo. "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"

Am done!
Nyie mnachotaka watu waugue kwashakoo au safura ,yaani asubuhi mtu anakula chai ya rangi na magimbi?(full carbohydrates and no protein ),kisa nini? nguvu za kusugua matobo,.,.. daah nani kasema nguvu zinapatikana hivyooo?acheni hizo bhana,mnataka tusimamie papuchi kama baiskeli ya msukuma?ndio maana maambukizi ya ukimwi yanazidi sababu ya friction.
 
mhmhmhmh wamikoani ndio mmezidi kwa kweli hamna lolote yaaan basi tu mtoa uzi kaamua kujipendelea
Tena ya mikoani yanaongoza kwa kushindia uji wa chumvi na malimao au mihogo ya kuchemsha na kisamvu plain na chumvi na maji ya tope,yaani full safura na kichocho.
 
hahaaaaaa hizo nguvu wanazitoa wapi hata za dakika 20 tu
 
Ushapiga reds zako mida hiyo basi unachonga tu..kwanza vipi ushapata bwana??au bado umekomaa na mume wa mtu?
 
Hakuna lolote katika hilo UNAFIKIRI KILA MWANAUME WA DAR ni kama BABA SALEHE ……… jinga kabsaaa
Akili imelala kwenye Mapenzi tu, na Ushamba tele hivi ni mwanamke gani anababaika na Mapishi wakati ndo wapishi wazuri toka kuzali hadi kuolewa
Nachokiona kwako ni ULIMBUKRNI TU wa COPY n PASTE

Am done!
 
Back
Top Bottom