- Thread starter
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna ky hapo mzeeHyo KY ya nn ss[emoji44]
[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna ky hapo mzeeHyo KY ya nn ss[emoji44]
Shamba vitu viko juu mzee?Kwa ushauri!!! Kwa maisha haya ulokua unaishi, ya kulipa kodi 100,000./, umeme 10,000/, maji, 10,000/, chakula 200,000/, (nine assume) DSTV 40,000/, Vinywaji 150,000/ (assumed) nakuomba tagadhali usije huku shamba!!!!!!
Labda kama unataka kujiua. Jaribu kumuuliza kijana Analyse atakuelewesha
Ww tu package ni 200000 likiwa na godoro safi na shuka ukizihitaji zipo kama 6 nakupa bureNaomba tuongee kweny kitanda mkuu
Nayo inauzwa?[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna ky hapo mzee
Siijui hiyo ky ndo niniNayo inauzwa?
Niweke mimi boss ila suala la wewe kuja kulala lisiwepoAiseee, kwa anayeanza maisha kila kitu very cheap, ukijumlisha na gharama za chumba, kwa milioni 1...mrembo yoyote ambaye anaweza kunisaidia kuishi hapo ani PM, mimi nitakuwa ninakuja kulala mara moja moja
Yaani mtu aishi kwa shemeji na ana uwezo wa kushika 1M?Wale mnaoishi kwa shemeji, mnalala sebuleni haya mshindwe sasa.
Nimeandika bei mkuu hapo chiniHayo mazaga yote kutoa gharama za chumba ni kiasi gani?
Niweke mimi boss ila suala la wewe kuja kulala lisiwepo
Sasa kama unataka pawe kwako si ukakae mwenyeweHa ha Hicho ni kigezo sasa kwangu afu nisilale tena, na kodi, umeme na maji nnagharamia
Ndiyo. Wanaishi sana Khantwe na wanafanya kazi.Yaani mtu aishi kwa shemeji na ana uwezo wa kushika 1M?
Ndiyo. Wanaishi sana Khantwe na wanafanya kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23]kajisemea ndege JOHN eti hata wangekuwa na 300 wasingeishi kwa shemeji.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kunao wanaoogopa maisha.Sidhani, ukiniambia nyumbani sawa ila sidhani kama kuna mtu mwenye kipato cha uhakika anaweza kuishi kwa dada, Unaona sasa alichosena Ndege John.... Kwamba angekuwa na uwezo hata wa laki tatu tu asingeishi kwa dada
Kunao wanaoogopa maisha.
Hususani wakifikiria kuanza kupanga gharama za mwanzoni zinakuwa kubwa sana.
Njoo ndo iliyobaki mkuuMkuu nahitaji package ya sofa fasta