- Thread starter
- #21
Soma vizuri mkuu hadi namba nimewekaUmesahau kuweka location
Kwa kujazia zaidi
Dar- kiwalani- kijiwe samli namba 0673320147
Soma vizuri mkuu hadi namba nimewekaUmesahau kuweka location
Njoo ukabebe kwa laki tu hakana shida yoyoteKafriji ako bei gan
Itaisha tareh 22 nililipia ya 39000Hiyo dstv peke yake unauza kiasi gani? Package vipi imeisha au bado visiku kadhaa?
60000Unauza kiasi gani hiyo dstv
40000 bado kana gesiHicho kimtungi kidogo complete bei gani?
Godoro comfy na TV NI oulingTv aina gan boss nifikirie hio package ya TV. Na godoo ni aina gani
😁 😁 😁 😁Wale mnaoishi kwa shemeji, mnalala sebuleni haya mshindwe sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mara paap anatokea shabab mmoja ananilipia package nzima..haha
Baada ya kuamua kuingia katika upande wa pili ili kukuza kipato Mara dufu zaidi (kilimo) kuna upande wa kwanza nahama (biashara ya kukaa sehemu moja)/nasitopisha kwa muda sio kwa kufeli ila kwa sababu mpaka kufikia now nimetimiza malengo yangu maana nilikuwa na malengo ya kufanya biashara for 2 years ili kufikia lengo , kwa hili namshukuru mungu nimefikisha miaka miwili na lengo limetimia so nataka nikajaribu kilimo almost for 14 months nikaone inakuwaje baada ya hio miezi nitaleta mrejesho pia!
So kwa maana hio kuna vitu vingi nimevitangaza kuviuza na vingine bado vinaendelea NA kutangazwa na vingine vimechukuliwa saivi nimehamia vitu nilivyokuwa natumia ndani nataka kuviuza kwa namba ifuatayo
A. KUUZA GETHO CHUMBA NA SEBLE KODI YA LAKI KWA MWEZI LIKIWA NA PAMOJA NA KODI YA MIEZI MITATU MBELE ,KITANDA NA GODORO LAKE,JIKO LA GESI,MITUNGI YA GESI MKUBWA NA MDOGO YOTE IKIWA NA GESI,MEZA ZA KIOO NA SOFA MOJA,TV NA subwoofer POMOJA NA KINGAMUZ CHA DSTV,FRIDGE LA KAWAIDA,NA MAFENI KAMA MATATU HIVI HAPO GHARAMA YAKE KWA VYOTE ni 1000000 BEI YA KISHKAJI
B. Kuuza mafungu fungu
Ambapo kitanda na godoro vyote nauza 200000 VIPO katika good condition kabisa hamna uchakavu HATA kidogo
-mitungi ya GESI miwili pamoja na jiko vyote nauza 200000 bado GESI IMO katika mitungi ya kutosha tu
-TV inch 24yaani nilivoinunua nikaiweka mezani haijawahi hamishwa wala kufunguliwa,kingamuzi cha dstv,sabwoofer,deki, vyote ni bland new toka dukani na havijawahi dondoka wala kuwa na tatizo ni mashine za kufuta na kitambaa tu na unaweza rudisha dukani tena maana zipo katika hali nzuri. Vyote nakuuzia 300000 meza nakupa free
-sofa pamoja na meza ya kioo vyote utanipa 100000 bei ya kishikaji pia good condition kabisa HATA kutembea navyo kwa watu unavyosafirisha unakuwa huru sio kuwa na aibu
-fridge pamoja na feni zote tatu lete 150000 havina shida HATA kidogo
Pia hapa napokaa kwa wale ambao hawataki bugdha na wapangaji na wanahitaji nyumba yenye hadhi kiasi uswahilini basi hii itamfaa choo cha kwako,umeme mnashare wawili mita.
Location dar es salaam ,kiwalani,kijiwe samli , namba 0673320147
View attachment 1128982View attachment 1128984View attachment 1128986View attachment 1128987View attachment 1128988View attachment 1128989View attachment 1128991View attachment 1128993View attachment 1128994View attachment 1128995View attachment 1128997View attachment 1128999View attachment 1129000
Kideo nakupa kikiwa na package ya kingamuz cha dstv ,deki kwa 250kKideo peke ake unasukum Bei gani?
Hyo KY ya nn ss[emoji44]Baada ya kuamua kuingia katika upande wa pili ili kukuza kipato Mara dufu zaidi (kilimo) kuna upande wa kwanza nahama (biashara ya kukaa sehemu moja)/nasitopisha kwa muda sio kwa kufeli ila kwa sababu mpaka kufikia now nimetimiza malengo yangu maana nilikuwa na malengo ya kufanya biashara for 2 years ili kufikia lengo , kwa hili namshukuru mungu nimefikisha miaka miwili na lengo limetimia so nataka nikajaribu kilimo almost for 14 months nikaone inakuwaje baada ya hio miezi nitaleta mrejesho pia!