Baada ya kuamua kuingia katika upande wa pili ili kukuza kipato Mara dufu zaidi (kilimo) kuna upande wa kwanza nahama (biashara ya kukaa sehemu moja)/nasitopisha kwa muda sio kwa kufeli ila kwa sababu mpaka kufikia now nimetimiza malengo yangu maana nilikuwa na malengo ya kufanya biashara for 2 years ili kufikia lengo , kwa hili namshukuru mungu nimefikisha miaka miwili na lengo limetimia so nataka nikajaribu kilimo almost for 14 months nikaone inakuwaje baada ya hio miezi nitaleta mrejesho pia!
So kwa maana hio kuna vitu vingi nimevitangaza kuviuza na vingine bado vinaendelea NA kutangazwa na vingine vimechukuliwa saivi nimehamia vitu nilivyokuwa natumia ndani nataka kuviuza kwa namba ifuatayo
A. KUUZA GETHO CHUMBA NA SEBLE KODI YA LAKI KWA MWEZI LIKIWA NA PAMOJA NA KODI YA MIEZI MITATU MBELE ,KITANDA NA GODORO LAKE,JIKO LA GESI,MITUNGI YA GESI MKUBWA NA MDOGO YOTE IKIWA NA GESI,MEZA ZA KIOO NA SOFA MOJA,TV NA subwoofer POMOJA NA KINGAMUZ CHA DSTV,FRIDGE LA KAWAIDA,NA MAFENI KAMA MATATU HIVI HAPO GHARAMA YAKE KWA VYOTE ni 1000000 BEI YA KISHKAJI
B. Kuuza mafungu fungu
Ambapo kitanda na godoro vyote nauza 200000 VIPO katika good condition kabisa hamna uchakavu HATA kidogo
-mitungi ya GESI miwili pamoja na jiko vyote nauza 200000 bado GESI IMO katika mitungi ya kutosha tu
-TV inch 24yaani nilivoinunua nikaiweka mezani haijawahi hamishwa wala kufunguliwa,kingamuzi cha dstv,sabwoofer,deki, vyote ni bland new toka dukani na havijawahi dondoka wala kuwa na tatizo ni mashine za kufuta na kitambaa tu na unaweza rudisha dukani tena maana zipo katika hali nzuri. Vyote nakuuzia 300000 meza nakupa free
-sofa pamoja na meza ya kioo vyote utanipa 100000 bei ya kishikaji pia good condition kabisa HATA kutembea navyo kwa watu unavyosafirisha unakuwa huru sio kuwa na aibu
-fridge pamoja na feni zote tatu lete 150000 havina shida HATA kidogo
Pia hapa napokaa kwa wale ambao hawataki bugdha na wapangaji na wanahitaji nyumba yenye hadhi kiasi uswahilini basi hii itamfaa choo cha kwako,umeme mnashare wawili mita.
Location dar es salaam ,kiwalani,kijiwe samli , namba
Updates......
.
.
.
Package ya tv ......SOLD
..