Njoo umsalimie mtu mrefu zaidi duniani

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
4f1703bcbc40e5cf50e3fdcecbe229da.jpg
 
hii JF ya safari hii nahisi ina mamluki wengi kutoka facebook,jamani huu mtandao ndio pekee unatupa heshima watanzania ndani na nje ya mipaka yetu,atleast tujitahidi ku`post vitu sensitive ambavyo vitatujenga,sio utumbo wa aina hii,natamani nikuone uliye`post unafananaje?daah aibu aibu!
 
Kilichokuchefua haswa ni nini ndugu! Kuna jukwaa la jamii interigence, siasa, biashara na ujasiliamali. Kwa nini usijichanganye na ma genious wenzako kule?
 
hii JF ya safari hii nahisi ina mamluki wengi kutoka facebook,jamani huu mtandao ndio pekee unatupa heshima watanzania ndani na nje ya mipaka yetu,atleast tujitahidi ku`post vitu sensitive ambavyo vitatujenga,sio utumbo wa aina hii,natamani nikuone uliye`post unafananaje?daah aibu aibu!
Ww jamaa pumba kweli hv nini maana ya jamii photos kwan uliitwa huku, mfyuuuuu kamasi za nguruwe ww
 
Back
Top Bottom