Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,268
Kwanza uta menya ndizi zako kisha andaa hoho, karoti,
Kumbuka utumbo mgumu kuiva so uchemshe kwa mda mrefu
Baada ya hapo anda sufiria ya kupikia weka mafuta kidogo tu yakipata moto weka ndizi hoho karoti kisha koroga
Kisha weka utumbo wako nao changanya vizr
Baada ya hapo chukua supu yako ya utumbo iweke kisha funika kama una tui la nazi weka tui la pili
Baada ya kuiva vizur weka tui la kwanza lile kisha liache lichemka kidogo tu na uipue weka kwa poti
As u can see