Njoo ujaribu.....!

Sipawezi hapo, na sitaki kupajaribu
 
Ninaamini huyu chatu huwa analishwa kwanza na kushiba kabla ya huyu mtoto kufanya mambo yake.. Vinginevyo huyu mtoto angekuwa chakula fasta..
 
Usimjaribu mungu wako,imeandikwa
 
[MENTION]tafiti[/MENTION] .huyu jamaa ajasikia ule wimbo eeh? ...Usimchezee Chatu, Chatu ooh Chatu...
 
Mtoto na wazazi wake wote wapuuzi... kucheza na minyama ya kishetani kisa nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…