Mbuzi Mzee
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 348
- 85
Jina tu hilo bana...we njoo tuyajenge basMbona ushakua Mbuzi mzee jamani
hadi wewe!!!!kwan haujazeeka bado
Dah!haya bana@madame S
Nakaribia kustaafu nataka wa kula nae pension
hapo umeongea. sasa kwanza kastaafu then unitafte utafurahi mwenyewe. hutojuta kunijua. nice 2mit u.
This's beautiful my angel na usisahau kuwajuza kwamba ndani kabisa ya moyo wako ndimo kuna makazi yangu ya kudumu!Me najenga na NasDaz
This's beautiful my angel na usisahau kuwajuza kwamba ndani kabisa ya moyo wako ndimo kuna makazi yangu ya kudumu!
Mwezi ujao nastaaafu...hapo umeongea. sasa kwanza kastaafu then unitafte utafurahi mwenyewe. hutojuta kunijua. nice 2mit u.
bujibuji nashukuru nimeona ngoja niende pm jiandae kupokea mahariMiss Natafuta njoo huku kuna jamaa anaitwa ndyoko ana dawa ya kuondoa excess fat and tissues