yani acting kabisa nashangaa hamna mchawi wa kiume wala mwenye jini mwanaume inaonekana Dada zetu na mama zetu ni rahisi kudanganyika kwa pesa ndogo ndogo
Siyo acting mkuu huyo jamaa nampata x pastor na hayo mafuta nimeyashuhudia ..its real
na kama hajahama ofisi zake zakhem naweza kukuelekeza ununue hayo mafuta na ufanye experiment mtaani kwako au kwenye sehemu yenye nyumati ya watu

Hiyo ofisi yenu iko wapi mkuu... Nimecheka mpaka mbavu zimeuma... Hii style ya misukule ya kina Gwajima haha teh. Nyie siku ya kiama mtakuwa kuni nyie...
Siyo acting mkuu huyo jamaa nampata x pastor na hayo mafuta nimeyashuhudia ..its real
na kama hajahama ofisi zake zakhem naweza kukuelekeza ununue hayo mafuta na ufanye experiment mtaani kwako au kwenye sehemu yenye nyumati ya watu
hapo anawahamasisha tu kisha wanalala, uwezi toa pepo kwa msahafu, kunafanyika mawili tu, moja ni kulinyamazisha kwa muda kwa kulipa kile litakacho, pili ni kuweka pepo lingine kubwa lenye nguvu zaidi ya hilo lililopo ili kulinyamazisha, masharti ni lazima kulihudumia hilo lenye nguvu na kufuata masharti yake lisije kukugeuka.