Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,202 Reaction score 7,028 Jan 28, 2017 #1 Karibu tujifunzze kitu kipya.
willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,083 Reaction score 1,326 Jan 29, 2017 #2 Teh sheikh noma sana
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Jan 29, 2017 #3 Ngoja kwanza. Dakika Ishirini na Nne (24)! Ndefu sana. Ntaitafutia Muda. Vidole vina hamu ya Kubofya
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,202 Reaction score 7,028 Jan 29, 2017 Thread starter #4 willy ze great said: Teh sheikh noma sana Click to expand... Kakinukisha....
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,202 Reaction score 7,028 Jan 29, 2017 Thread starter #5 HARUFU said: Ngoja kwanza. Dakika Ishirini na Nne (24)! Ndefu sana. Ntaitafutia Muda. Vidole vina hamu ya Kubofya Click to expand... Karibu mkuu, unaweza kujifunza kitu!
HARUFU said: Ngoja kwanza. Dakika Ishirini na Nne (24)! Ndefu sana. Ntaitafutia Muda. Vidole vina hamu ya Kubofya Click to expand... Karibu mkuu, unaweza kujifunza kitu!
Fukara JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,624 Reaction score 930 Jan 29, 2017 #6 Utapeli mtupu... Naona usanii tu
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,798 Jan 29, 2017 #8 Kitu kipya, Utapeli mpya!!
Ntolonyonyo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,231 Reaction score 2,358 Jan 29, 2017 #9 Mh....Belzebul.....
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,202 Reaction score 7,028 Jan 29, 2017 Thread starter #10 Ntolonyonyo said: Mh....Belzebul..... Click to expand... Mkuu wa Pepo anapojaribu kutoa Pepo...?
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,273 Reaction score 14,524 Jan 29, 2017 #11 Wamenishangaza
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Jan 29, 2017 #12 Kudaadeki...kumbe kakobe ndo alikuwa anajipigia kwa style hii!!
P Plan Of Action JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 462 Reaction score 382 Jan 29, 2017 #13 HARUFU said: Ngoja kwanza. Dakika Ishirini na Nne (24)! Ndefu sana. Ntaitafutia Muda. Vidole vina hamu ya Kubofya Click to expand... mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana.. nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla..
HARUFU said: Ngoja kwanza. Dakika Ishirini na Nne (24)! Ndefu sana. Ntaitafutia Muda. Vidole vina hamu ya Kubofya Click to expand... mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana.. nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla..
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Jan 29, 2017 #14 Mr Bean Jr said: mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana.. nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla.. Click to expand... Muda mchache uliopita nilianza nayo kidogo, nlipoona mambo ya mihadhara nkaamua kuipotezea. Nkajua yale mambo yao ya Midahalo. Basi kwa heshima yako, ngoja niiangalie sasa hivi
Mr Bean Jr said: mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana.. nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla.. Click to expand... Muda mchache uliopita nilianza nayo kidogo, nlipoona mambo ya mihadhara nkaamua kuipotezea. Nkajua yale mambo yao ya Midahalo. Basi kwa heshima yako, ngoja niiangalie sasa hivi
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,690 Jan 29, 2017 #15 duhh nimechokaaaaa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Jan 29, 2017 #16 Mr Bean Jr said: mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana.. nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla.. Click to expand... Ahsante Kiongozi. Kwa hisani yako nimeiangalia yote. Na mpaka Video ilipoishia walikuwa bado hawajaisha na wengine wanazidi kujitokeza. Yaani pale Kiwanjani ni zogo tupu, hakuna kusikilizana
Mr Bean Jr said: mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana.. nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla.. Click to expand... Ahsante Kiongozi. Kwa hisani yako nimeiangalia yote. Na mpaka Video ilipoishia walikuwa bado hawajaisha na wengine wanazidi kujitokeza. Yaani pale Kiwanjani ni zogo tupu, hakuna kusikilizana
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,305 Jan 29, 2017 #17 Nina njaa...
BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 12,320 Reaction score 11,341 Jan 29, 2017 #18 Duuh
cosa nostra JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 1,773 Reaction score 1,809 Jan 29, 2017 #19 Powder said: Karibu tujifunzze kitu kipya. Click to expand... Nao waislam wameanza miujiza wameona christians wanafaidi
Powder said: Karibu tujifunzze kitu kipya. Click to expand... Nao waislam wameanza miujiza wameona christians wanafaidi
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,202 Reaction score 7,028 Jan 29, 2017 Thread starter #20 cosa nostra said: Nao waislam wameanza miujiza wameona christians wanafaidi Click to expand... Tatizo Ostaadh anawapiga Wagonjwa wengine makofi.
cosa nostra said: Nao waislam wameanza miujiza wameona christians wanafaidi Click to expand... Tatizo Ostaadh anawapiga Wagonjwa wengine makofi.