Habari Wafanyabiashara ,
Kwa sasa soko la zao la Ufuta ni kubwa sana, Msimu wa mwaka jana ufuta ulinunuliwa kwa bei ya Tsh 4000 kwa kilogram moja.
Msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa bei ya ufuta kupanda kutoka hiyo 4000 hadi 5000 hapa kati.
Zao la ufuta hulimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara, na kwa msimu huu ufuta umelimwa zaidi na maendeleo yake ni mazuri.
Kuna biashara kama 2 za ufuta, hizi ni za chomachoma, yaani unanunua kutoka kwa mkulima.
Aina ya kwanza inaitwa KULA MAUA, hii ni biashara maarufu sana ukija huku Mtwara na Lindi, hii mkulima anaenda kwa tajili anachukua pesa kwa mkataba maalumu, baadae analeta ufuta, kwasasa KULA MAUA kwa kg ni sh elf 1 hadi 1500, Mfano anachukua sh 15,000 baadae analeta kg 10 za ufuta.
Ni biashara ambayo ina faida kubwa sana, mfano ukilisha maua milion 15, utapata ufuta tani 10, Ukauza kg 3000 baadae, unapata Tsh mili 30, yaan tele kwa tele.
Sasa kwa aliye tayari kupata elimu na kufanya hii biashara, namkaribisha, Napatikana Mtwara, Masasi.
Habari Mkuu!Habari Wafanyabiashara ,

Ufuta huanza kulimwa mwezi wa 11, 12, 1 na 2 lakini kuvuna ni kuanzia mwez wa 5, inategemea ni aina gani ya mbegu umelima, kwa sababu kuna mbegu ya muda mfupi na muda mrefu,Habari Mkuu!
Naulizia ufuta unaanza kulimwa Mwezi wa ngapi na huchukua muda gani mpaka kukomaa.Naomba majibu tafadhali
Mkuu unajua changamoto za "KULA MAUA"?.Habari Wafanyabiashara ,
Kwa sasa soko la zao la Ufuta ni kubwa sana, Msimu wa mwaka jana ufuta ulinunuliwa kwa bei ya Tsh 4000 kwa kilogram moja.
Msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa bei ya ufuta kupanda kutoka hiyo 4000 hadi 5000 hapa kati.
Zao la ufuta hulimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara, na kwa msimu huu ufuta umelimwa zaidi na maendeleo yake ni mazuri.
Kuna biashara kama 2 za ufuta, hizi ni za chomachoma, yaani unanunua kutoka kwa mkulima.
Aina ya kwanza inaitwa KULA MAUA, hii ni biashara maarufu sana ukija huku Mtwara na Lindi, hii mkulima anaenda kwa tajili anachukua pesa kwa mkataba maalumu, baadae analeta ufuta, kwasasa KULA MAUA kwa kg ni sh elf 1 hadi 1500, Mfano anachukua sh 15,000 baadae analeta kg 10 za ufuta.
Ni biashara ambayo ina faida kubwa sana, mfano ukilisha maua milion 15, utapata ufuta tani 10, Ukauza kg 3000 baadae, unapata Tsh mili 30, yaan tele kwa tele.
Sasa kwa aliye tayari kupata elimu na kufanya hii biashara, namkaribisha, Napatikana Mtwara, Masasi.
Kaka hao matajiri hutumia vigezo gani kutoa huo mkopo?Habari Wafanyabiashara ,

Unaposema mwaka huu watu wengi wamelima ufuta hizo takwimu umezitoa wapi?endelea kubashiri tuKila jema mkuu, ila mwaka huu watu wengi wameingia mashambani kulima ufuta na mvua hizi ufuta utakuwa mwingi sana mwaka huu, bei lazima ishuke, usijiaminishe sana kama ilivyokuwa kwenye korosho.
Sawa Mkuu, shukraniUfuta huanza kulimwa mwezi wa 11, 12, 1 na 2 lakini kuvuna ni kuanzia mwez wa 5, inategemea ni aina gani ya mbegu umelima, kwa sababu kuna mbegu ya muda mfupi na muda mrefu,
Lakini wataalam wanasema hata ukiharaka kupanda mwez wa 11 na huyu kapanda mwez wa 2, mara nyingi mtavuna pamoja.
Ushauri mzuri sana.Mkuu unajua changamoto za "KULA MAUA"?.
Unaweza toa milioni 15 kwa makadirio ya kuletewa tani 15 wakulima wakivuna, ila mwisho wa siku utapewa na hao wakulima ikizidi sana labda tani 5.
Bora ungeshauri mtu aje kununua kwa njia ya chomachoma wakianza kuvuna, hii inaitwa nipe nikupe, hivyo haina kudhulumiana fedha wala mzigo.
Hiyo njia ya kula maua ilihali mtu hajaenda hata kulima inawafaa wazawa tena wale makatiri wa kiwango cha juu, hao kidogo kati ya tani 15 alizolipia mzigo anaweza letewa tani 10-12.
Changamoto nyingine ya haya mazao ya STAKABADHI GHARANI bei mnapangiwa siku ya mnada, inawezekana mwaka jana bei ilikiwa Tsh 3800/= ila mwaka huu matajiri wakanunua kwa Tshs 2300/= kwa kilo moja.
Binafsi ninawashauri wenye uhitaji wa kufanya biashara hiyo ya ufuta, waje kipindi cha uvunaji ili wapate mzigo moja kwa moja kuliko hiyo ya ku-bet mwisho wa siku unaishia kuumia nafasi.
Ukianza kuvuna nambie
Kweli kabisaaMwaka huu ufuta utakuwa mchache sababu mvua zimekuwa nyingi hivyo ufuta mwingi umefukiwa na maji mashambani