Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Ngoja nikuulize man. Ulivymwina huyo mshangazi, ulifanyeje?
Je, ulikumbia?
Ulikutana naye na kubadilishana mawazo?
Ulipiga yowe?
Miguu ilikosa nguvu hadi ukuanguka?

Ninaaswali mengi sana bwashee, lakini hebu nijibu kwanza hayo machache.
Kaka ndege sasa mimi nitajuaje jamani mi nilihadithiwa hivyo tu
Lakini huenda alipiga yoweeeeee
 
Sema sasa bana🤣
Miaka flani kipindi kijana niliuziwa mbuzi kwenye gunia.

Kuna dada mmoja aliwahi kosea namba akanitafta, badae tukaendelea mawasiliano.

Alikua na sauti nzuri sana nikaamini na physical view is directly proportion na sauti ake.

Astaghfirallah !! siku nlio muona nliishiwa pawa alikua kama hyo ID picture ya brother secretarybird .
 
Mwaka 2011 hii iliwahi kunitokea 🤣🤣🤣
Namba ngeni ikaingia , sauti tamu ya Diva , alikuwa binti wa moja ya matajiri wa mabasi ya abiria, nikavutika na sauti. Mpaka nilisafiri tuje kuonana. Stendi ya mabasi ilikuwa Ubungo bado

Siku ya kuonana na mmiliki wa sauti tamu aisee yaani nashindwa hata kumuelezea 😅 kwanza ni mweusi this halafu ana pimples kibao usoni hata cleanser sijui alikuwa haijui ? Mfupi na ana kitambi sijui alikuwa anakula kula hovyo, halafu alikuwa amepaka wave nywele na rangi ya midomo alikuwa amepaka ya kijivu na gauni alikuwa amevaa la dukani (special)

Nilipoteza mzuka kabisa na zile tamaa zote zika cease ghafla. Maana before ilianza na mitongozo na ahadi kedekede. Nikajiuliza huyu baba yake ndio yule tajiri au huyu ni Beki tatu tu ? Lakini mbona sura na Mshua ni copy kabisa ?
 
I have never been disappointed on week end waiting ✋️. Hapa yenyewe nishaianza, kesho hakuna kazi kwangu☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…