Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

equator

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
209
Reaction score
124
Je ikiwa unahitaji msaada wa maelekezo kuhusiana na yafuatayo uliza na utasaidiwa bure

1) Msaada kuhusu website (iwe ni kiushauri)
2) Chochote kuhusu Wordpress
3) Chochote na php au laravel
4) Python

Nitakusaidia kadri ya uwezo wangu. Kwa bure kama unadhani ni siri njoo uni PM. Pako wazi kwa ajili yako wewe pale nItakapoweza nItakusaidia.
 
Nahitaji kufungua website kupitia wordpress. Naomba msaada wako.
 
Glas,

Karibu nikusaidie.

Swali la kwanza ningependa kukuuliza, je tayari una domain na server?
 
Mkuu naitaji kutengeneza website kwa WordPress ila sina domain wala server
 
Francilex,

Sawa hiyo website nina maswali kadhaa:

1)Je ni aina gani?
2)Una hitaji server na domain lakini unakwama? Ili niweze kukushauri.

Kama unahisi hayo maelezo huezi toa hapa usiogope kujibia inbox. (Lakin kile kikuu nitachokushauri ukiachana na mambo binafsi nitakuja kupost huku)
 
equator, Sasa nini hiii si bora ungesema hapa ili kwa yule mwingine mwenye swali kama hili apate ufahamu
 
g_code,
Sawa mkuu nimekuelewa nilichokuwa nimepanga kwamba nitamsaidia then nitaandaa muhtasari kwa ajili ya watu wote basi nitakachofanya nitaandaa muhtasari alafu akija ntamsaidia yeye kama yeye. Nitaweka hilo jibu punde kaaa chonjo!
 
Back
Top Bottom