Hahahaaaaa,kwa bongo hili sijui utakuwa unapaki polisi kila siku na ulinzi wa ffu juu
Hahahaaaaa,kwa bongo hili sijui utakuwa unapaki polisi kila siku na ulinzi wa ffu juu
Labda walichome moto au waliharibu sababu hata ukiliacha wazi kuendesha hilo ataweza mwivi!!!!!!???
Akifanikiwa kuiba hata control box atauza wapi????!!!
Yaaani ni sawa na kuiba bendera ya Taifa!!!!