Njoo nikufundishe njia za kumwacha kwa aibu msichana mpenda pesa

Kina ndume zinapenda hela toka kwa wanawake ni balaa, mwanaume anaomba hela mpaka mtu unaona aibu, sio wanawake tu ndio wapenda hela hujaona wanaume ndio utashaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanawake wamezidi aisee nimewablock kama 10 ivi hawana aibu kila siku vizinga kama leo ijumaa wanataka watoke out aisee, haya ukisema umtoe out hata aone unajali friendship yenu anaenda kukukaanga, yan sikuiz maisha yalivyokuwa magumu kumjua wife material ni rahis sana manake magubegube hawana uvumilivu kabisa,

NB: wanawake ambao wapo real bado wapo ila uwatafute kwa tochi...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ndo huwa tabia yangu baada ya kuwatafuna Mara mbili,yan ukiwambia hvo anajihisi kama kavuliwa nguo katikat ya lami,hilo povu sasa atakalo mwaga😀😀😀.
 
Bravo... Wee ndio unawajua wanawake. Mwanamke akupende huko nikujidanganya tuu.
Eti demu ananizimia balaa. Kila wakati anapiga simu "ooohh unajua Sele nakupenda sana, bila wewe siwezi fanya lolote".
Na kidume kinashangilia.
Duuuuuhhh
 
Wanawake wamezidi aisee nimewablock kama 10 ivi hawana aibu kila siku vizinga kama leo ijumaa wanataka watoke out aisee, haya ukisema umtoe out hata aone unajali friendship yenu anaenda kukukaanga, yan sikuiz maisha yalivyokuwa magumu kumjua wife material ni rahis sana manake magubegube hawana uvumilivu kabisa,

NB: wanawake ambao wapo real bado wapo ila uwatafute kwa tochi...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tena kwa mwanga wa karabai.
Uvumilivu sasa ni 0/0.
Haina haja kumchunguza binti kwa miaka miwili.
Only 2 days zinatosha kumjua binti sahihi.
 
Wanawake wamezidi aisee nimewablock kama 10 ivi hawana aibu kila siku vizinga kama leo ijumaa wanataka watoke out aisee, haya ukisema umtoe out hata aone unajali friendship yenu anaenda kukukaanga, yan sikuiz maisha yalivyokuwa magumu kumjua wife material ni rahis sana manake magubegube hawana uvumilivu kabisa,

NB: wanawake ambao wapo real bado wapo ila uwatafute kwa tochi...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa kitu magume gume!

Mie mekutana na ndume moja hivi matata mpaka voucher

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom