Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia
Watanzania bado sana, hata ukiambiwa ingiza kidole matakoni kwako halafu lamba nikutabirie, tatizo wengi wetu tunategemea ushirikina, kugusa hapo huna mahusiano gani na kutabiriwa nguchiro nyie