Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Mar 12, 2018 #1 Elimu ni uwekezaji wa hali ya juu. Tusifanye mchezo.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Mar 12, 2018 #2 Huyu mbwa kazi kudanganya watz.... Dawa yake ya kuharibu mfumo wa elimu huku watoto wake yy rais wa wanyonge wakisoma shule bora tuukomeshe 26/04/2018
Huyu mbwa kazi kudanganya watz.... Dawa yake ya kuharibu mfumo wa elimu huku watoto wake yy rais wa wanyonge wakisoma shule bora tuukomeshe 26/04/2018
911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,469 Reaction score 4,312 Mar 12, 2018 #3 basi ingekuwa elimu bure huku mazingira yakiboreshwa ya mfundishaji ya anaye fundishwa ya eneo la kujifunzia ya vifaa vya kufundishia na kujifunzia tungehitimisha kwa kusema kuwa elimu bure itamsaidia mwanafunzi.
basi ingekuwa elimu bure huku mazingira yakiboreshwa ya mfundishaji ya anaye fundishwa ya eneo la kujifunzia ya vifaa vya kufundishia na kujifunzia tungehitimisha kwa kusema kuwa elimu bure itamsaidia mwanafunzi.
ypointer4 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2010 Posts 633 Reaction score 523 Mar 13, 2018 #4 Elimu bure maanayake ni Elimu osiyonatija yani bute kabisa. Msichanganye bure na bila malipo. ndo maana shule za mkwanja kwao Elimu sio Bure na wanzidi kung'ara.
Elimu bure maanayake ni Elimu osiyonatija yani bute kabisa. Msichanganye bure na bila malipo. ndo maana shule za mkwanja kwao Elimu sio Bure na wanzidi kung'ara.
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,572 Reaction score 18,001 Mar 13, 2018 #5 Wahaya kwa sifa! sio kwa G7 hizo...btw ukitaka kuona elimu ni ghali jaribu ujinga..
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Mar 13, 2018 Thread starter #6 Mshuza2 said: Wahaya kwa sifa! sio kwa G7 hizo...btw ukitaka kuona elimu ni ghali jaribu ujinga.. Click to expand... Thamani halisi ya elimu ni kupitia shule binafsi kama hizi. Huwezi kumfananisha mwanafunzi wa shule za serikali na products zinazotoka shule kama hizi.
Mshuza2 said: Wahaya kwa sifa! sio kwa G7 hizo...btw ukitaka kuona elimu ni ghali jaribu ujinga.. Click to expand... Thamani halisi ya elimu ni kupitia shule binafsi kama hizi. Huwezi kumfananisha mwanafunzi wa shule za serikali na products zinazotoka shule kama hizi.
Tairus JF-Expert Member Joined Mar 13, 2013 Posts 680 Reaction score 1,068 Mar 13, 2018 #7 Mimi nimejifunza kitu apo.. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,345 Reaction score 5,455 Mar 13, 2018 #8 ooooh kwa wakishua uko watoto wao wanawapeleka uko sie makapuku tunaenda elimu bure halafu tunashangilia
ooooh kwa wakishua uko watoto wao wanawapeleka uko sie makapuku tunaenda elimu bure halafu tunashangilia