big alizingua,walimuibia wimbo wake "get money"Alikuwa na pepo la NGO - no!!😤
for sure men,mi kijana wangu yuko 10 now,but namuitaga "dogo" nikimuita "mwangangu" jua ile "mwanangu" ya kitaa km "wana" wengine tu😁Yeah kabisa ila mi kwangu poa tu kwa sababu dogo ni mkubwa halafu mi ni kama.his big brother..sio " dingi" . Ili uwe qualified kuwa " dingi" lazima uwe like 40 yrs older than ur kids.Pigo za kidingi naona miyeyusho wakati mi mwenyewe kichaa babu..