Njoo jua njoo mvua:Demetrius Ship is the biological son of Tupac Shakur

Wabongo bana. Kwenye interview Demetrius
anasema baba yake kafanya kazi na Tupac kwenye "Toss it up" (kati ya 1995-96 hapo). Toss it up inahusika na "No Diggity" ya Blackstreet, kwa wafuatiliaji wa Hiphop wanaelewa nini kilitokea. Sasa kama No Diggity ilitoka 88, sawa.

1988 Pac alikuwa Bay Area na kina Spice 1, muziki bado kabisa, just acting stupid and all.
 
Demetrius ni mtoto wa Pac . We thank God at least his genes will be passed to other generations. Am saying this as if Pac is Dead.
 
Yeah kabisa ila mi kwangu poa tu kwa sababu dogo ni mkubwa halafu mi ni kama.his big brother..sio " dingi" . Ili uwe qualified kuwa " dingi" lazima uwe like 40 yrs older than ur kids.Pigo za kidingi naona miyeyusho wakati mi mwenyewe kichaa babu..
for sure men,mi kijana wangu yuko 10 now,but namuitaga "dogo" nikimuita "mwangangu" jua ile "mwanangu" ya kitaa km "wana" wengine tu😁
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom