Njombe yamnyoosha Lowassa

Usidanganye tena maan sik nyingine ntakuchapa sawa totoo😕,Halafu ujifunze kudanganya maana alipo Rais kama EL jua jeshi la Red liko karib, hapo nimekuona sijui ni ww ndo umeweka ulinzi hapo na blauzi yako nyekundu:what:
 
Babakosilaa kakimbia nchisiukimbie naawewe
 
Njombe mpaka maduka yakifungwaa sasa sijui huu mkutano wako wa chumbani kwako na mumeo?
 
Da Hii picha imenikumbusha mbili nimejiona ban a ilikuwa ni mkutano wa mtia Nia wa udiwani mwezi wa 5 nilishika Hilo bango pichani du siasa propaganda.
 
Mimi nipo njombe mleta hii habari acha uongoo... Kwanza hizo pcha zakoo hapo cio njombe... Hebu jiheshimu kidogoo aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…