Wandendeule wanatokea mkoa wa Ruvuma wilaya ya Namtumbo.Kumbe kuna kabila la "Mndendeule" ndio nasikia leo, ni wenyeji wa wapi hawa?
You are not serious are you?Rip huko naskioa ni - 10°c
Kuna miaka ilikuwa inamwagika barafu kwenye majaniDha, ndo huko baridi lipo 6
mi sijaelewa hilo somo !
yaani unakufa ki'ulaini tu hivo bila hata kufurukuta yaani roho itoke kirahisi tu?
Out are not serious are you?
Mkaa, unavyowaka kwa kukosa oxygen, unazalisha carbon monoxide (CO) ambayo huvutwa na binadamu na kisha kuungana na hemoglobin (Hb) ktk mapafu. Kisha CO husambazwa sehemu mbali mbali za mwili (kwenye cell) na hatimaye kusababisha matatizo ya upumuaji (oxygen tension vs CO tension).
Kwa kifupi sana, hayo ndiyo maelezo.
R.I.P to them.
Dah ... Nikusahihishe mkuu...mkaa unatokana na mimea ukiungua unatoa gesi ya kabondayoksaid (CO2)....hivyo kama umejifungia sehemu isiyo na madirisha...hiyo CO2 inarudi tena kuendelea kuungua bila kukamilika muunguo wake...na hivyo kufanya kuanza kujengeka kwa hewa kabonimonoksaid (CO) ambayo ndiyo sumu yenyewe ,
Aisee,asanteWandendeule wanatokea mkoa wa Ruvuma wilaya ya Namtumbo.
Wangoni hao, ni sawa na mpogoro na mndambaKumbe kuna kabila la "Mndendeule" ndio nasikia leo, ni wenyeji wa wapi hawa?
Wengi hawajaliona hiliTatizo nauli