Mvina
JF-Expert Member
- Aug 2, 2009
- 998
- 34
Kwa wale waliosoma Njombe secondari kabla ya kuwa High school tujaribu kujikumbusha mambo haya.
1. Kuna vyoo vya shimo nyuma ya mabweni kwa jina maarufu vilikuwa vinaitwa Nyamagana ukiingia ni lazima uvue kama una sweta au koti na hata shati ikiwezekana kwa kuhofia kutoka na perfume!
2. Kuna bustani ya mboga ambayo mwl. Ngimba alijipatia umarufu kupitia huu mradi kama haujamwagilia tuta lako ni wewe na yeye.
3.Kuna mgono ulitokea miaka ya tisini na kitu hivi kuna jamaa alidondoka toka ghorofa ya tatu akabaki anadunda kama kawa karibu na Gorani.
4. Kuna yale majengo chini yalikuwa yanajulikana kama Halimashauri
5.Kubwa kwa yote mtakumbuka mwezi wa tano na wasita mabafu yalivyokuwa yanakosa wateja sababu unayo.
6.Wakuu sijayakumbuka yote ila haya ni baadhi tu tujaribu kukumbushana kama kuna unalokumbuka.
Nawasilisha!!!