ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,014
Ni wakati muafaka wa TISS kuajiri hawa njiwa labda wanaweza kupaa juu na kutuletea reports za zile njemba za kibiti,Njiwa hawa wala hawana makuu maskini ya mungu,we wape mchele na mahindi tu
Hawashindi leaders club na bongo movie huku wakilewa na kuanza kujisifu kwamba wao na usalama wa taifa,wala hawatolei viongozi bastola hovyohovyo ,bastola yenyewe imewekwa kiunoni upande wa kushoto halafu anatumia mkono wa kulia
Ajirini hawa njiwa kama wa bawana Putin,KGB oyeeeeeee.