Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

Mi namwelewa sana jamaa!!

Uchungu usioisha moyoni kutokana na hustle za maisha!!

Lakini kama anawajali wazazi wake kwa kidogo sio mbaya!!

Japo hapo alipo anaumwa hafurahii maisha kabisa no mgonjwa jamaa anahitaji msaada!!

Watu weusi pia ukiwasaidia huwa hawana shukrani!watakuumuza one day!!
 
Watu wengi tunaowasaidia hawana shukrani mwisho wa siku wanakuliza.
Maisha yetu ndio yanatifanya tuwe hivyo Ila uhalisia Kila mtu apambane na Hali yake.
Sadia uende zako yeye mwenyewe sidhani kama walio msaidia amewalipa, hakuna faida ya kumwaga chakula jalalani wakati kuna watu wanakufa njaa
 
Mi namwelewa sana jamaa!!

Uchungu usioisha moyoni kutokana na hustle za maisha!!

Lakini kama anawajali wazazi wake kwa kidogo sio mbaya!!

Japo hapo alipo anaumwa hafurahii maisha kabisa no mgonjwa jamaa anahitaji msaada!!

Watu weusi pia ukiwasaidia huwa hawana shukrani!watakuumuza one day!!
Roho mbaya ndio chanzo cha kuugua magonjwa ya ajabu ajabu
 
"Ndio, Sihitaji Watu wanisumbue tena, Mimi sio Msamaria Mwema Kama Samuel Eto'o, Kwani yule Ni Eto'o na Mimi Ni Njitap!

Sikuteseka kutafuta pesa kwa Miaka Mingi ili kuja kuiokoa Dunia Nzima. Hata Familia Yangu yenyewe tu Kuna Muda huwa inalalamika kuhusu Mimi lakini Mi Sijali, Ni Mungu Pekee atakayenihukumu na Sio Binadamu unayempa kitu, uliyempa kitu au ambaye hukumpa kitu.

Siku zote nimekuwa nikimwambia Eto'o Kwamba Kuna siku Watakucheka kwa Dhihaka, Na Biblia ilishatabiri Hayo yote, Mimi Jeremy Njitap nimebaki vile vile, Pesa Yangu Ni Yangu, Na Kama nisingecheza Mpira Nani angekuwa Tayari kunisaidia? Sinunui Huruma Mimi.

Huwezi kunisikia Nachangisha Michango kwa Mtu yeyote, Halafu Wengi Wanaamini pengine Mimi siishi Kabisa Cameroon Sababu Muda Karibu Wote napendelea kukaa Nyumbani na Geti langu Muda Wote likiwa limefungwa, Hata huyo Mlinzi wangu mwenyewe Hana sahani ya Chakula Nyumbani kwangu Maana Mshahara wake Unamtosha kula kwake". - Jeremy Njitap!

#Note: Njitap Ni Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon, Chelsea na Real Madrid.

View attachment 2943704
Shikamoo Njitap.
Nimekuelewa Njitap
Unamawazo ya Kitajiri Njitap
Wewe ni wa Kuigwa Njitap
Kila mtu apambane na hali yake Njitap
Hatuwezi kununua Huruma Njitap
Haiwezekani ulee watoto mapacha ambao mkeo alikucheat Njitap
Katika kikao chet cha Wanaume wakweli utakuwa mwenyekiti Njitap
Kula Maisha Njitap!
 
Alichoongea ni sahihi.

Waafrika tuna tatizo moja la kuona mwenzetu kafanikiwa sisi twataka tumtweke taabu, shida na matatizo yetu yote
 
Mi namwelewa sana jamaa!!

Uchungu usioisha moyoni kutokana na hustle za maisha!!

Lakini kama anawajali wazazi wake kwa kidogo sio mbaya!!

Japo hapo alipo anaumwa hafurahii maisha kabisa no mgonjwa jamaa anahitaji msaada!!

Watu weusi pia ukiwasaidia huwa hawana shukrani!watakuumuza one day!!
Wazazi pekee wanastahili kula matunda yg
 
iyo platform sio bure wanafanya baada ya kuona kitu ndani yako na ndo maana wanaweka vipengere vya kimkataba kwamba ukifanikiwa wao wananufaika nn

nawe jitihada zako zinahitajika pia, sio lelema mama usubiri kubebwa mkuu
Kabisaa aisee
 
"Ndio, Sihitaji Watu wanisumbue tena, Mimi sio Msamaria Mwema Kama Samuel Eto'o, Kwani yule Ni Eto'o na Mimi Ni Njitap!

Sikuteseka kutafuta pesa kwa Miaka Mingi ili kuja kuiokoa Dunia Nzima. Hata Familia Yangu yenyewe tu Kuna Muda huwa inalalamika kuhusu Mimi lakini Mi Sijali, Ni Mungu Pekee atakayenihukumu na Sio Binadamu unayempa kitu, uliyempa kitu au ambaye hukumpa kitu.

Siku zote nimekuwa nikimwambia Eto'o Kwamba Kuna siku Watakucheka kwa Dhihaka, Na Biblia ilishatabiri Hayo yote, Mimi Jeremy Njitap nimebaki vile vile, Pesa Yangu Ni Yangu, Na Kama nisingecheza Mpira Nani angekuwa Tayari kunisaidia? Sinunui Huruma Mimi.

Huwezi kunisikia Nachangisha Michango kwa Mtu yeyote, Halafu Wengi Wanaamini pengine Mimi siishi Kabisa Cameroon Sababu Muda Karibu Wote napendelea kukaa Nyumbani na Geti langu Muda Wote likiwa limefungwa, Hata huyo Mlinzi wangu mwenyewe Hana sahani ya Chakula Nyumbani kwangu Maana Mshahara wake Unamtosha kula kwake". - Jeremy Njitap!

#Note: Njitap Ni Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon, Chelsea na Real Madrid.

View attachment 2943704
Itoshe tu kusema kwamba mwamba mwenyewe Njitap katukana sana hapa, yani karap sana. I'm out but nimesikitika sana
 
Back
Top Bottom