Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

"Ndio, Sihitaji Watu wanisumbue tena, Mimi sio Msamaria Mwema Kama Samuel Eto'o, Kwani yule Ni Eto'o na Mimi Ni Njitap!

Sikuteseka kutafuta pesa kwa Miaka Mingi ili kuja kuiokoa Dunia Nzima. Hata Familia Yangu yenyewe tu Kuna Muda huwa inalalamika kuhusu Mimi lakini Mi Sijali, Ni Mungu Pekee atakayenihukumu na Sio Binadamu unayempa kitu, uliyempa kitu au ambaye hukumpa kitu.

Siku zote nimekuwa nikimwambia Eto'o Kwamba Kuna siku Watakucheka kwa Dhihaka, Na Biblia ilishatabiri Hayo yote, Mimi Jeremy Njitap nimebaki vile vile, Pesa Yangu Ni Yangu, Na Kama nisingecheza Mpira Nani angekuwa Tayari kunisaidia? Sinunui Huruma Mimi.

Huwezi kunisikia Nachangisha Michango kwa Mtu yeyote, Halafu Wengi Wanaamini pengine Mimi siishi Kabisa Cameroon Sababu Muda Karibu Wote napendelea kukaa Nyumbani na Geti langu Muda Wote likiwa limefungwa, Hata huyo Mlinzi wangu mwenyewe Hana sahani ya Chakula Nyumbani kwangu Maana Mshahara wake Unamtosha kula kwake". - Jeremy Njitap!

#Note: Njitap Ni Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon, Chelsea na Real Madrid.

View attachment 2943704
Si ndio huyu huyu aligongewa mke na kuzalishwa mapacha
 
Me nimemuelewa sana mwamba.

BInadamu wa sasa tumejaa unafiki uliopitiliza.

Sioni sababu ya watu kumuona mwamba ana roho mbaya kwa hela ambayo ameitafuta kwa jasho lake mwenyewe.

Kila mmoja apambane na hali yake.
 
Pesa zake ana haki ya kuzitumia atakavyo maana hakuna aliyemsaidia kutafuta.
Sehemu niliyo muelewa ni pale alivyo Seema Kama ningekiwa maskinn Nan wa kumsaidiaa

Ila hajui kuwa Ni neema ya mungu ndio imeshukiaa na kupata kipaji hicho walichonyimwa wengi
 
Mi najua hadi katika hapo Kuna wengi sna walimshika mkono ila naamini hizi maandishi yaliyopanga kumchafua ili aonekane ni sawa kugongewa
 
Mtu akipata bahati mambo yaka mnyookea anawaona wengine kama wazembe, wapumbavu, wajinga kumbe kuna watu wanafanya kazi day and night ni vile tu wapo nje ya mfumo
 
Lilikua bonge la mido Lilicheza pia Newcastle na Real Madrid ni mmoja Kati ya Wachezaji wachache wa Africa waliocheza Madrid chini ya Uongozi wa Perez
 
"Ndio, Sihitaji Watu wanisumbue tena, Mimi sio Msamaria Mwema Kama Samuel Eto'o, Kwani yule Ni Eto'o na Mimi Ni Njitap!

Sikuteseka kutafuta pesa kwa Miaka Mingi ili kuja kuiokoa Dunia Nzima. Hata Familia Yangu yenyewe tu Kuna Muda huwa inalalamika kuhusu Mimi lakini Mi Sijali, Ni Mungu Pekee atakayenihukumu na Sio Binadamu unayempa kitu, uliyempa kitu au ambaye hukumpa kitu.

Siku zote nimekuwa nikimwambia Eto'o Kwamba Kuna siku Watakucheka kwa Dhihaka, Na Biblia ilishatabiri Hayo yote, Mimi Jeremy Njitap nimebaki vile vile, Pesa Yangu Ni Yangu, Na Kama nisingecheza Mpira Nani angekuwa Tayari kunisaidia? Sinunui Huruma Mimi.

Huwezi kunisikia Nachangisha Michango kwa Mtu yeyote, Halafu Wengi Wanaamini pengine Mimi siishi Kabisa Cameroon Sababu Muda Karibu Wote napendelea kukaa Nyumbani na Geti langu Muda Wote likiwa limefungwa, Hata huyo Mlinzi wangu mwenyewe Hana sahani ya Chakula Nyumbani kwangu Maana Mshahara wake Unamtosha kula kwake". - Jeremy Njitap!

#Note: Njitap Ni Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon, Chelsea na Real Madrid.

View attachment 2943704
mwamba yupo sahihi Sanaa,!
 
Huyu mwamba si ndiyo
Ameachana na mke wake baada ya kugundua(kupitia kipimo cha DNA) kwamba watoto mapacha aliodhani ni wake kumbe ni wa x wa mke wake.
 
Me nimemuelewa sana mwamba.

BInadamu wa sasa tumejaa unafiki uliopitiliza.

Sioni sababu ya wwtu kumuona mwamba ana roho mbaya kwa hela ambayo ameitafuta kwa jasho lake mwenyewe.

Kila mmoja apambane na hali yake.
..mwamba yupo sahihi sana
 
Back
Top Bottom