Wadau wana JF,
Baada ya kumuacha yule dada na kuweka namba yangu kwenye bango na kuandika 'Mganga kutoka Nigeria' nimempata mdada mwingine ni mzuri sana lakini tupo wanaume wannne na wote tunajuana na hakuna aliyepo tayari kumuacha huyu dada ametuloga au ni kawaida.
Naombeni ushauri ila matusi sitaki
Nani alikuambia kuna demu asiye mtamu?????????????? Mapenzi ni hisia kadri unavyoziongeza ndivyo unavyofurahia zaidi.Huyu demu ni mtamu sana....
kila kitu unauliza utakuja kuuliza humu nimfanye mbuzi kagoma au kimende
jinsia zoteWe jamaa ni mwanaume au mwanamke?