utakuwa zoba na wewe,you do the same thing everyday,expecting different result......mnh huyo mdada kaborekaje na wewe.....?
Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate ma she wote. Hebu niambien wadau nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.
Kaaaazi kweli kweli...
Kwani mwanzoni ulikua unawapenda ''ma she'' wote??
Wanawake sa nyingine majibu yenu ni ny*ko . Sa urafiki wa kazi gani. Kuna urafiki kati ya predator na prey?mbona jibu keshakupa siku nyingi? Si keshakwambia muwe marafiki tu? Ung'ang'anizi wenu ndo unawaponza
go see a doctor...
hapo anza kutembea mdogo mdogo..mademu huwa wanatabia ya kufanya comparison.. bado yuko anakucompare na wengine.. anasaka channel..au wanasemaga ana-analyse data.. #there are plenty of fishes in the sea:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate ma she wote. Hebu niambien wadau nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.
Wanawake sa nyingine majibu yenu ni ny*ko . Sa urafiki wa kazi gani. Kuna urafiki kati ya predator na prey?
The predator is born to hunt not negotiate. Bora angemwambia akahunt pori lingine. Huyu jamaa na yeye 3years anakomaa tu! kha!
Kama bado anakomaa nae sasa itakuwa miaka minane duh,hatujapata feedback