Believer kizuri unaweza kufanya kwa nafsi yako na huyo mpenzi wako ni kumuamini tu,kama humuamini jitahidi umuamini,ukimuamini atakuamini,atakuheshimu na mtaendelea vyema mke/muma halindwi kwa bastora au shushu utaishia kujiumiza tu au kumuumiza mwenzio(be it emotional or physical)