Njia zipi unaweza ukazitumia Ili kufaulu vizuri ukiwa kama private candidate?

Dimited lukosi

New Member
Aug 2, 2022
1
0
Samahani nilikuwa naomba kuuliza swali kwanini private candidate hufeli sana has combination za science utakuta kati ya wanafunzi kumi amefaulu mmoja.

Kama yupo aliye faulu vizuri Kwa comb ya pcb akiwa PC anipe ushuhuda ASANTEN
 
Ukiwa PC make sure unakuwa mazingira ya shule kama mwanafunzi otherwise hutoboi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom