kwa sasa most current technology used inaitwa CMS-Content Management System.
search kuhusu CMS utakutana nazo nyingi ndani yake, chagua moja ya kuanzia kujifunza, based on my own personal preference, unaweza anza na wordpress CMS.
mambo yako mengi na tutorials zipo nyingi, sina direct link, unaweza kusearch tutorials kuhusu wordpress CMS kwenye google, youtube. ila kama ukikwama rudi tu hapa kuuliza