I and J Son
Member
- May 28, 2020
- 9
- 8
Kwa hiyo unataka kusemaje?Hesabu za Simultaneous equation zinaweza kusoviwa kwa njia nne ambazo ni
1) Substitution method
2)Elimination method
3)Graphical method
4)Matrix method.
Hivyo thread zijazo tutatazama njinsi ya kutumia njia tajwa katika kusolve simultaneous equation.
Let's solve this step by step.Kwa hiyo unataka kusemaje?
Haya twende kazini...
Two cups of tea and two cups of coffee cost £10 in total.
Two cups of tea and one cup of coffee cost £7
What is the price of one cup of tea?
AaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhLet's solve this step by step.
Let:
- T = price of one cup of tea
- C = price of one cup of coffee
We are given:
Step 1: Subtract Equation (2) from Equation (1)
(2T + 2C) - (2T + C) = 10 - 7
2T + 2C - 2T - C = 3
C = 3
Step 2: Substitute into Equation (2)
2T + 3 = 7
2T = 4
T = 2
✅ Final Answer:
The price of one cup of tea is £2.
KUPATA odd 2 TU ni hesabuWalimu wa hesabu wengi hawana hela sijui hesabu zinawasaidia nini?
Na bado walimu nguli wa hesabu wanatembea soli zimelika hadi wanaweka kichuma.KUPATA odd 2 TU ni hesabu
Ndiyo ni ChatgptAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh
No AI
Alikufundisha kwa kutumia njia gani kati ya hizo 4?Nikiwa kidato cha Pili nwishoni niliwahi fundishwa Kusokves sinulteneously Eqn na Jamaa mmoja wakati huo alikuwa ni mwanafunzi Diploma ya Ualimu Pale BUtimba TTC sijawahi kusahau hadi leo na iiikuwa njia simple sana
Let Tea represented by letter T and Coffee by letter CKwa hiyo unataka kusemaje?
Haya twende kazini...
Two cups of tea and two cups of coffee cost £10 in total.
Two cups of tea and one cup of coffee cost £7
What is the price of one cup of tea?