M mamn New Member Joined Sep 14, 2019 Posts 2 Reaction score 2 Feb 26, 2021 #1 Habari wana jamvi, Natumia tecno camon X,kuna simu zilipigwa nili record mazungumzo wakati tunaongea,kwa bahati mbaya nikafuta zile record nifanyaje ili niweze kuzipata tena wataalamu naomba msaada wenu
Habari wana jamvi, Natumia tecno camon X,kuna simu zilipigwa nili record mazungumzo wakati tunaongea,kwa bahati mbaya nikafuta zile record nifanyaje ili niweze kuzipata tena wataalamu naomba msaada wenu