iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
hii ni kwa wanawake sijaongelea wanaumeMafanikio ya ndoa au mapenzi kimsingi ni tabia njema na za kweli. Anaweza kuwa anampokea mumewe kwa mabusu lakini moyoni hamna kitu bali kutaka chuma ulete. Je na mwanamume mbona umemsahau au ni yale yale kuwa kazi ya mapenzi ni ya mwanamke? Huwa nachukia na kupinga ubaguzi wa kijinsia sina mfano.
hii ni kwa wanawake sijaongelea wanaume